Return To Message Board
Author Topic:   maoni kuhusu uraisi wa munishi
mchungaji shabani mughalu toka congo posted 9/18/04 4:47 PM     Click here to send email to mchungaji shabani mughalu toka congo  click here to send an icq message
nimesoma kwamba unatamani kua raisi anaye terajiwa tanzania na sababu ya hii nilipenda ni ku swali je umepata uakika kutoka Bwana ? je munishi amekua mwana siasa ?si sibaya ingawa Bwana amekutaka kuiongoza tanzania baadaye jibu kwa hii maswali yaweza kua uongozi mzuri kwa neno lile aksanti na Bwana akubariki
Return To Message Board

http://munishi.com  | Post New Topic