Return To Message Board
Author Topic:   Fikiri kabla ya kuandika
elibariki posted 12/15/04 12:14 AM     Click here to send email to elibariki  
Naona ni vema uutumie muda wako vizuri badala ya kukashifu viongozi wako bila sababu ukijua falme zote zimewekwa na Mungu na ujue elimu yako ni duni mno na ndo maana unaongea kama mtu asiye na akili hata kidogo au anayemjua Mungu.Sasa usijiegeshee kwa Mungu wakati kauli zako zinaonyesha kuwa wewe ni msaliti wa Maagizo ya Mungu kwa wanadamu.Zako ni kelele za chura.Ukiambiwa uende ikulu unaijua hata iko je?
Munishi posted 12/16/04 2:39 PM    
Kweli Falme zote zimewekwa na Mungu. Mbona Nyerere aliutoa ufalme wa kikoloni uliowekwa na Mungu? Kwa sababu Nyerere alikosea kuutoa ufalme wa kikoloni, ndio maana nami nataka kukosea kuitoa CCM. Yote ni makosa, muda tu ndio unaotofautiana.
Return To Message Board

http://munishi.com  | Post New Topic