|
MAN
|
posted 3/5/08 8:29 PM
kulingana na vazi lako hapa kwenye web wee ni mnyanyua vyuma ?MCHUNGAJI ?mwanamitindo ? maana mkufua huo siuelewi? je ni kweli wewe ni mkristo au mtafuta masilahi? me nakuona kama msanii vile!!!! mara utake kuwa rais wa nchini mara ukandie wachungaji wenzio kama wanashida si uwaombee we mkristo gani? au unatumia biblia hipi ya majungu mwisho naomba utoe hiyo picha yako ya kibishoo miwani shanga kama mchezo ndomboolo bwana unachekesha hahahahaha we mkristo bwana hacha vituko vya kina bambo
|