Return To Message Board
Author Topic:   DI NGUMU
IKUPAH posted 11/22/11 9:27 AM     Click here to send email to IKUPAH  
Kweli ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindando kuliko binadamu kuona ufalme wa Mungu.MUSHI NA KULOLA nimeanza kuwaona tangia nikiwa na miaka nane...wakija Mbeya Kutangaza neno la Bwana wetu Yesu Kristo kwa pamoja. INANISHANGAZA LEO KUONA ATI WAKO KWENYE MITANDAO TENDA MKIZUNGUMZA MAMBO KAMA HAYA. MUSHINI ya Mungu muachie yeye na ya dunia aiachie Dunia coz huwezi kuyajua yote.na sioni Busara sana mtu kama wewe kuweka mada kama hii, unapunguza baraka.HEBU TUMUABUDU MUNGU NA TUYACHE YA DUNIA.Mungu wetu atubariki.
Mwisraeli kwelikweli posted 1/25/12 10:40 AM    
Ikupa nakuunga mkono asilimia mia moja kuweka mada za kuwasema au kusemana watu wa Mungu siyo busara. Huku wanafanyia midahalo watu wa jamii forum. Humu tufundishane neno na kuhimizana kuomba zaidi kuliko kusemana.
Return To Message Board

http://munishi.com  | Post New Topic